Thursday, December 20, 2012


CRISTIANO RONALDO anarejea Old Trafford kupambana na timu yake ya zamani, Manchester United akiwa na Real Madrid baada ya timu hizo mbili kukutanishwa katika hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa Ulaya.
Ratiba kamili ni kama ifuatavyo
Galatasaray v/s Schalke 04
Celtic v/s Juventus
Arsenal v/s Bayern Munich
Shakhtar Donetsk v/s Borussia Dortmund
AC Milan v/s Barcelona
Real Madrid v/s Man Utd
Valencia v/s PSG
FC Porto v/s Malaga
Hatua ya kwanza February 12 na 20; marudiano: March 5 na 12
Robo fainali: Hatua ya kwanza April 2 na 3 marudiano: April 9 na 10
Nusu fainali: Hatua ya kwanza: April 23 na 24 Marudiano: April 30 na May 1
Finali (Wembley): May 25

No comments:

Post a Comment