Sunday, November 20, 2016

Mungu wa Msimbazk

OKWI NI BORA KULIKO WACHEZAJI WOTE VPL?
.
.
Emmanuel Okwi Hana Uhakika Wa Namba Katika Kikosi Cha Timu Yake Ya Sonderjyker Fc Ya Pale Denmark, Amewahi Kuanzishwa Mara Moja Tu:
.
Kitu Cha Kushangaza Ni Kwamba Mchezaji Huyu Anawatoa Jasho Viongozi Wa Simba Wakiwaza Watampataje Kwani Bado Ana Mkataba Na Timu Yake, Wanaenda Mbali Kwa Kutaka Kumnunua Mchezaji Huyo Kwa Zaidi Ya Tsh. Milioni 250.
,
Akili Yangu Ndogo, Ikaniambia Kama Mkaa Benchi Okwi Ananunuliwa Kwa Pesa Kiasi Hicho, Ni Wazi Ligi Ya Tanzania Haina Mchezaji Hata Mmoja Ambae Anaweza Kucheza Ligi Kuu Ya Denmark.
.
Viongozi Na Mashabiki Wa Simba Lazima Wawe Makini Na Usajili Wa Okwi, Kwani Usajili Wake Umegubikwa Na Ushabiki Zaidi Kuliko Uwezo WA Uwanjani.

No comments:

Post a Comment