Saturday, September 8, 2018

*UKWELI MCHUNGU MGOGORO WA ARDHI ARUMERU* Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro amemaliza Mgogoro wa Ardhi wa Kata ya *Ambureni kijiji cha Shangarai waliotaka Ardhi ya Kujenga Shule, Zahanati maeneo ya huduma za kijamii,hatua iliyowalazimu baadhi kufyeka Migomba ya wananchi wengine na kumlazimu Dc Muro* kuingilia Kati. Awali baadhi ya wananchi wasiozidi kumi wa *Kijiji cha Shangarai walikuwa wakilitumia eneo hilo kwa maslahi binafsi kwa kupanda migomba hatua iliyowakera wananchi zaidi ya elfu kumi wa kata nzima ya Ambureni* ambao baadhi yao waliamua kuvamia eneo hilo na kukata migomba kwa lengo walilosema wanataka kuanza *ujenzi wa zahanati Shule ya msingi Pamoja na kituo cha Polisi cha kata kutokana na kuchoshwa na urasimu wa watu wachache waliotaka kujimilikisha eneo hilo ambalo hapo awali lilikuwa likimilikiwa na Mwekezaji Machumba Coffee Estate* ambaye alikubali kutoa hekari kumi na tatu ( 13 ) kwa kata kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati, Shule ya msingi na Kituo cha Polisi na baadae kujitokeza wananchi wachache wa Kijiji cha shangarai waliotaka kujimilikisha kinyemela eneo hilo kwa kupanda migomba jambo lililowakera wananchi wa kata nzima ya Ambureni na kupelekea kuibuka kwa mgogoro Mdogo kati yao wenyewe hatua iliyomlazimu *Dc Muro* kuingilia kati na kumaliza mgogoro huo. *Imetolewa na Ofisi ya wa Wilaya ya Arumeru* *#TanzaniaYetu* *#WakatiWetu* *#MeruYetu*

https://youtu.be/s9moqy-vS_U

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro amemaliza Mgogoro wa Ardhi wa Kata ya *Ambureni kijiji cha Shangarai waliotaka Ardhi ya Kujenga Shule, Zahanati maeneo ya  huduma za kijamii,hatua iliyowalazimu baadhi  kufyeka Migomba ya wananchi wengine na kumlazimu Dc Muro* kuingilia Kati.

Awali baadhi ya wananchi wasiozidi kumi wa *Kijiji cha Shangarai walikuwa wakilitumia eneo hilo kwa maslahi binafsi kwa kupanda migomba hatua iliyowakera wananchi zaidi ya elfu kumi wa kata nzima ya Ambureni* ambao baadhi yao waliamua kuvamia eneo hilo na kukata migomba kwa lengo walilosema wanataka kuanza *ujenzi wa zahanati Shule ya msingi Pamoja na kituo cha Polisi cha kata kutokana na kuchoshwa na urasimu wa watu wachache waliotaka kujimilikisha eneo hilo ambalo  hapo awali lilikuwa  likimilikiwa na Mwekezaji Machumba Coffee Estate* ambaye alikubali kutoa hekari kumi na tatu ( 13 ) kwa kata kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati, Shule ya msingi na Kituo cha Polisi na baadae kujitokeza wananchi wachache wa Kijiji cha shangarai waliotaka kujimilikisha kinyemela eneo hilo kwa kupanda migomba jambo lililowakera wananchi wa kata nzima ya Ambureni na kupelekea kuibuka kwa mgogoro Mdogo kati yao wenyewe hatua iliyomlazimu *Dc Muro* kuingilia kati na kumaliza mgogoro huo.

*Imetolewa na Ofisi ya wa Wilaya ya Arumeru*

*#TanzaniaYetu*
*#WakatiWetu*
*#MeruYetu*

No comments:

Post a Comment